Wagonjwa wa nje

Posted on: October 1st, 2022

Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa inatoa huduma za matibabu kwa wagonjwa wa nje kwa muda wote wa masaa 24.