Wagonjwa wa Ndani

Posted on: August 13th, 2022

Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa ina wodi za kutosha za aina zote zenye ubora na huduma safi kutoka kwa wauguzi wazoefu waliobobea.