UJENZI WA JENGO LA MAGONJWA YA DHARURA

Posted on: January 20th, 2021

Ni ujenzi unaoendelea katika hospitali ya rufaa mkoa wa Iringa, jengo la magonjwa ya dharura(Emergence Medical Department) kama ajali, kisukari kikali, covid-19, Ebola, Kiharusi, ujenzi huu unatarajia kukamilika mwezi wa tatu mwaka huu 2021.

   - Ujenzi huu utakapokamilika unatarajiwa kuwa na sehemu tatu

1 .Sehemu ya wagonjwa wenye dalili hatarishi

2 .Sehemu ya wagonjwa wa dharula kama ajali(majeraha)

3.Upasuaji mkubwa na mdogo pamoja na ofisi za madaktari na manesi