TAASISI YA DORIS MOLEL YATOA MSAADA

Posted on: January 14th, 2021

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela kulia akifuatiwa na katibu tawala wa mkoa wa Iringa Happines Seneda na mtendaji mkuu wa taasisi ya Doris Mollel na mwisho kabisa ni mganga mkuu wa hospitali ya rufaa ya Iringa Dr Alfred Mwakalebela wakifurahia mashine maalumu za kusaidia upumuaji kwa watoto njiti zilizotolewa na Doris Mollel foundation