Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Iringa Apokea Mashuka 40 kutoka NHIF

Posted on: May 2nd, 2021

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa Dokta Alfred Mwakalebela amepokea msaada wa mashuka 40 kutoka Mfuko wa Bima ya Afya NHIF. Msaada huo Ulikabidhiwa na Meneja wa NHIF Mkoa wa Iringa Agnes Chaki